• 0759 200 422 / 0655 771 999
  • sabsbethel@gmail.com

BETHEL SABS Girls’ ni Shule ya Sekondari ya Wasichana inayo milikiwa na Sisters of the Adoration of the Blessed Sacrament (SABS), Shirika la Kitawa la Kanisa Katoliki.

Shule imesajiliwa, kwa namba ya usajili S.1117 mnamo Tarehe 01 April 2003.

“BETHEL” maana yake: “NYUMBA YA MUNGU”. Tunaipokea shule hii kama zawadi ya Mungu kwa watoto wetu: ni nyumba aliyo waandalia watoto wetu.

Shule yetu ni, Shule bora Kitaifa tangu toleo la kwanza kama inavyo onyesha hapa chini
2008 – Nafasi ya 4
2009 – Nafasi ya 8
2010 – Nafasi ya 7
2011 – Nafasi ya 14
2012 – Nafasi ya 3
2013 – Nafasi ya 7
2014 – Nafasi ya 8
2015 – Nafasi ya 10
2016 – Nafasi ya 4
2017 – Nafasi ya 4
2018 – Nafasi ya 10
2019 – Nafasi ya 17
2020 – Nafasi ya 5
2021 – Nafasi ya 5